Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa

Imechapishwa:

Makala maalum ya changu chako chako changu inafanyika hapa Mombasa pwani ya Kenya katika luktadha wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa, inayofahamika Kama La Francophonie, ambapo Taasisi inayofundisha watu lugha hii na tamaduni za Ufaransa, Alliance Francaise ya Mombasa, imeandaa maadhimisho haya maalum kwa kuenzi namna ambavyo Francophonie inavyotia fora nchini DRC. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja akiwa Alliance francaise ya Mombasa

Msanii Syssi Mananga wa Kongo Brazzaville, katika tamasha ndani ya kituo cha mafunzo ya tamaduni za Ufaransa na lugha ya Kifaransa, mjini Mombasa Kenya Machi 17, 2024
Msanii Syssi Mananga wa Kongo Brazzaville, katika tamasha ndani ya kituo cha mafunzo ya tamaduni za Ufaransa na lugha ya Kifaransa, mjini Mombasa Kenya Machi 17, 2024 © Ruben Lukumbuka, RFI Kiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.