Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania na Uganda, hatua ambayo wataalamu wa Uchumi wanasema ni ya kibiashara zaidi kuliko uhalisia kuwa mahindi kutoka kwenye nchi hizo yana sumu.Mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amezungumza na Dr Bravious Kayoza, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania.

Picha ya mahindi, ambapo Kenya imezuia Mahindi kutoka Tanzania na Uganda.
Picha ya mahindi, ambapo Kenya imezuia Mahindi kutoka Tanzania na Uganda. AP - Ben Curtis
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.