Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Uganda yaanza rasmi uchimbaji wa mafuta kibiashara, itanufaika vipi

Imechapishwa:

Kwa mujibu wa Serikali ya Uganda, inatarajiwa kutenegeneza mapato ya karibu dola bilioni 66 kutokana na shughuli hiyo na kiasi kingine cha dola bilioni 3 kutokana na kuchakata mafuta ghafi katika kipindi cha miaka 25 ijayo, hii ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu ya taifa hilo, kutumia rasilimali zake kujinufaisha.Tumezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, mtaalamu na mchambuzu wa masuala ya uchumi na umasikini akiwa nchini Tanzania, kuangazia kwa kina hatua hii ya nchi ya Uganda.

Uganda imezindua rasmi uchimbaji wa mafuta kibiashara katika eneo la Kingfisher kwenye ziwa Albert. Tuesday, 24 January 2022.
Uganda imezindua rasmi uchimbaji wa mafuta kibiashara katika eneo la Kingfisher kwenye ziwa Albert. Tuesday, 24 January 2022. © Government of Uganda
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.