Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Kwanini Bostwana imefanikiwa kwenye sekta ya madini ?

Imechapishwa:

Kwenye sehemu yetu ya pili na ya mwisho kuhusu namna nchi ya Bostwana ilivyopiga hatua kwenye sekta ya madini na uchumi wake kwa kutegemea Almasi, tutasikia kutoka kwa wadau mbalimbali akiwemo mwekezaji  binafsi Siddarth Gothi , Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo KGK Bostwana, na mchambuzi binafsi wa siasa, Marisa Lourenco, kutoka Afrika Kusini   kuhusu mafanikio hayo lakini pia changamoto katika sekta hiyo.

Mgodi wa Almasi wa Jwaneng nchini Bostwana
Mgodi wa Almasi wa Jwaneng nchini Bostwana AFP/Alexander Joe
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.