Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tanzania: Mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa rais John Magufuli

Imechapishwa:

Ni mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na rais Samia Suluhu Hassan kuchukua madaraka na kubadilisha baadhi ya sera za mtangulizi wake.Utamkumbuka vipi rais Magufuli ?Unaamini kwenye uongozi wa mwanamke nchini Tanzania ?Mabadiliko yepi umeyaona kutoka kwenye rais Samia tangu kuchukuwa uongozi ?

Raia wa tano wa Tanzania, Marehemu John Magufuli
Raia wa tano wa Tanzania, Marehemu John Magufuli AP - Stringer
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.