Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais Museveni asitissha safari za kimataifa kwa wabunge

Imechapishwa:

Rais wa Uganda Yower Museveni amepiga marafuku safari za ndege kwa wabunge na wafanyikazi wa serikali nchini humo kwa kile anachosema serikali yake inalenga kutenga pesa kwa miradi ya maendeleo, hatua kama hii kwa wakati moja pia ilichukuliwa na serikali ya Kenya.Unadhani hatua kama hii itasaidia serikali kupunguza gharama yake?Haya hapa baadhi ya maobi yako.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni REUTERS/James Akena
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.