Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Habari rafiki kuhusu kikao cha EAC jijini Bujumbura

Imechapishwa:

leo tunazungumzia kuhusu mkutano uliofanyika jijini Bujumbura, mwishoni mwa juma wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao walitoa wito wa usitishwaji mapigano nchini DRC, wito amabo umepokelewa kwa hisia tofauti na raia wa nchi hiyo ambao wanaona viongozi hao wameshindwa kutoa kauli yenye mkazi zaidi. 

Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikutana jijini Bujumbura, Februari 4 2023 kwenye mkutano usiokuwa wa kawaida kujadili hali ya usalama, Mashariki mwa DRC
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikutana jijini Bujumbura, Februari 4 2023 kwenye mkutano usiokuwa wa kawaida kujadili hali ya usalama, Mashariki mwa DRC © jumuiya
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.