Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais wa Namibia amteua mwanamke kugombea mwakani

Imechapishwa:

Jumamosi iliyopita Rais wa Namibia Hage Geingob, alimtaja Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwa mgombea wa chama tawala SWAPO katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Ikiwa ataungwa mkono na kuchaguliwa atakuwa mwanamke wa tatu kuongoza nchi baada ya rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na Tanzania Samia Suluhu Hassan. Nini maoni yako kwa hatua hii? Unafikiri muda umefika kuendelea kutoa nafasi kwa wanawake kuongoza?

Makamu wa Rais wa chama tawala cha SWAPO nchini Namibia Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah, naibu waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo 2018.
Makamu wa Rais wa chama tawala cha SWAPO nchini Namibia Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah, naibu waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo 2018. © Ikulu ya Windhoeknchini Namibia
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.