Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku kuu ya kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari Mei 03 ya kila mwaka

Imechapishwa:

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari. Kupasha habari kuna gharama ya kibindamu ambapo tangu mwanzoni mwa mwaka wanahabari saba wameuawa na 570 bado wako gerezani.Je Serikali zinaheshimu uhuru wa vyombo vya habari?Haki ya kupata habari ni muhimu katika dunia iliyovamiwa na habari za kupotosha na za uongo?

Mei 3, 2023, Umoja wa Mataifa unaadhimisha miaka 30 ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.
Mei 3, 2023, Umoja wa Mataifa unaadhimisha miaka 30 ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. © RSF
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.