Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Matayarisho ya mvua za el Nino Africa Mashariki

Imechapishwa:

Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati zimeanza kuchukua mikakati ya kujiweka tayari kwa ajili ya kudhibiti athari zinazotokana na mvua ya El Nino inayotarajiwa kuaanza kunyesha mwezi huu.

(Photo : Bernard Ozès/ IRD)
(Photo : Bernard Ozès/ IRD) El Nino
Matangazo ya kibiashara

Mamlaka ya hali ya hewa zimeonya kuhusu athari zinazoweza kujitokeza.

Nchi yako imejiandaa vya kutosha?

 Haya hapa baadhi maoni yako.

 

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.