Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Uganda na Kenya zapiga marufuku za safari za ngambo

Imechapishwa:

Serikali za Uganda na Kenya zimepiga  marufuku safari za ngambo za afisa wa serikali zisizo kuwa za lazima, lengo likiwa kubana matumizi ya pesa za umma. 

Yoweri Museveni, rais wa Uganda
Yoweri Museveni, rais wa Uganda © RFI
Matangazo ya kibiashara

Ni hatua inayotokana kile zile hizo zimesema baadhi ya safari hizo ahazina manufaa kwa taifa.

 

Haya hapa baaadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.