Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Jumuiya ya Afrika mashariki kukutana jijini Arsuha juma lijalo

Imechapishwa:

Wakati huu wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitazamiwa kukutana juma lijalo, Jumuiya hiyo imeonekana kuendelea kushindwa kutatua mizozo inayoikumba nchi wanachama.Na kwenye makala yetu tumejadili mengi ikiwemo nini cha ziada kifanyike kuboresha utendakazi jumuiya hiyo.Sikiliza.

Viongozi wa jumuiya ya Afrika mashariki wakijadili hali ya uslama nchini DRC
EAC kufanya mkutano wake jijini Arusha juma lijalo © AP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.