Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wabunge wapya waanza vikao vyao nchini DR Congo

Imechapishwa:

Nchini DRC, bunge la awamu ya nne 2024 hadi 2028, lilianza vikao vyake siku ya Jumatatu jijini Kinshasa kwa kuwatambulisha wabunge wapya waliochaguliwa.Wananchi wa DRC watarajie nini kutoka kwa bunge hili ? Unadhani sera ya kususia vikao kwa wabunge wa upinzani ni chaguo bora ?

Jengo la Bunge la Congo (DRC) wakati wa kurejea bungeni. Kinshasa, 09/15/2016
Jengo la Bunge la Congo (DRC) wakati wa kurejea bungeni. Kinshasa, 09/15/2016 RFI/Sonia Rolley
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.