Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Transparency international yasema Afrika yashindwa kupambana na rushwa

Imechapishwa:

Ripoti ya hivi punde ya shirika la Transparency International, ambayo inaonesha kuwa mataifa ya Afrika hayapigi hatua kwenye mapambano dhidi ya rushwa.Tumekuuliza msikilizaji unadhani nini kinasababisha hali hii ? Unafikiri serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kupambana na rushwa?Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata maoni ya wasikilizaji wa RFI Kiswahili

Ripoti ya Transparency International ya mwaka 2023.
Ripoti ya Transparency International ya mwaka 2023. © Transparency International
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.