Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kenya : Yasitisha mpango wa kutuma polisi Haiti

Imechapishwa:

Kenya imetangaza kusitisha mpango wa kutuma polisi wake 1000 nchini Haiti baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Ariel Henry.

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry mnamo Machi 1, 2024 huko Nairobi, Kenya.
Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry mnamo Machi 1, 2024 huko Nairobi, Kenya. AP - Andrew Kasuku
Matangazo ya kibiashara

Hata hivyo, inasema mpango huo utaendelea baada ya kupatikana kwa serikali mpya.

Unazungumzia vipi uamuzi huu wa Kenya ?

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.