Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Simba, Al Ahly zafuzu hatua ya robo fainali michuano ya klabu bingwa Afrika

Imechapishwa:

Klabu ya Simba SC ya Tanzania, na Al Ahly ya Misri, zimefuzu katika hatua ya robof fainali kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika. Simba iliishinda AS Vita Club mabao 4-1 lakini Al Ahly ya Misri ilitoka sare ya mabao 2-2 na Al Al-Merrikh ya Sudan. Tunajadili hili na mengine mengi.

Wachezaji wa klabu ya Simba SC nchini Tanzania
Wachezaji wa klabu ya Simba SC nchini Tanzania © SimbaSCTanzania
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.