Jukwaa la Michezo
Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza baiskeli mwaka 2025
Imechapishwa:
Cheza - 24:00
Miongoni mwa yale utakayoyasikia jioni hii ni pamoja na:-Msimu mpya wa ligi kuu ya soka waanza nchini Kenya.-Nchini Tanzania Yanga na Simba wanachuana katika mechi ya ngao ya jamii.-Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza basikeli mwaka 2025.-Chelsea na Manchester United zafungwa katika mechi za ligi kuu zinazoendelea nchini Uingereza.