Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Bingwa wa AFCON kufahamika siku ya Jumapili, je atakuwa Misri au Senegal ?

Imechapishwa:

Fainali  ya mchezo wa soka kusaka bingwa wa Afrika, itawakutanisha Senegal na Misri siku ya Jumapili Februari 06 2022. Siku ya Jumamosi Februari 05 2022 , wenyeji Cameroon na Burkina Faso wanachuana kumtafuta mshindi wa tatu.

Senegal na Misri zitachuana kunyakua taji la AFCON 2021, Februari 06 2022
Senegal na Misri zitachuana kunyakua taji la AFCON 2021, Februari 06 2022 © FMM
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.