Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tennis: Vondrousova amshinda Ons Jabeur kunyakua taji la Wimbeledon 2023

Imechapishwa:

Miongoni mwa matukio hayo ni pamoja na uhamisho wa wachezaji wa klabu za soka kutoka nchi za Afrika Mashariki kuelekea kuanza kwa msimu mpya.Droo ya hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 katika mchezo wa soka nchini Marekani, Mexico na Canada.Katika mchezo wa Tennis, kuwania taji la Wimbeledon, Marketa Vondrousova ndio bingwa kwa upande wa wanawake….miongoni mwa mengine mengi

Marketa Vondrousova bingwa wa taji la Wimbledon 2023
Marketa Vondrousova bingwa wa taji la Wimbledon 2023 AP - Alberto Pezzali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.