Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mashindano ya riadha ya dunia yaanza nchini Hungary

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya riadha ya dunia, jijini Budapest. Kocha wa mchezo wa soka nchini Uganda, Sam Timbe ameaga dunia. Mechi za kufuzu hatua ya makundi michuano ya CAF, LALIGA kuweka mipango ya vilabu vyake kuzuru Afrika Mashariki pamoja na Luciano Spalletti kutajwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia.

Uwanja wa taifa wa Budapest  kunakofanyika mashindano ya riadha ya dunia, yanayoanza tarehe 19 hadi 27 Agosti.
Uwanja wa taifa wa Budapest kunakofanyika mashindano ya riadha ya dunia, yanayoanza tarehe 19 hadi 27 Agosti. AP - Zoltan Mathe
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.