Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Faith Kipyegon aweka historia mashindano ya riadha ya dunia 2023

Imechapishwa:

Faith Kipyegon ameishindia Kenya medali mbili za dhahabu katika mbio za mitaa 1500 na 5000 katika mashindano ya riadha ya dunia, katika jiji la Budapest nchini Hungary. Tunajadli hili na mengine mengi yanayotokea viwanjani wiki hii.

Faith Kipyegon mwanariadha wa Kenya.  Ameshinda medali mbili za dhahabu katika mbio za mitaa 1500 na 5000 katika mashindano ya riadha ya dunia, 2023 jijini Budapest.
Faith Kipyegon mwanariadha wa Kenya. Ameshinda medali mbili za dhahabu katika mbio za mitaa 1500 na 5000 katika mashindano ya riadha ya dunia, 2023 jijini Budapest. © REUTERS - MARTON MONUS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.