Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mkenya Eliud Kipchoge ashinda tena taji la Berlin Marathon

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na mwanariadha kutoka Kenya, Eliud Kipchoge kushinda mashindano ya riadha ya Berlin Marathon kwa mara ya tano, Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya Rwanda, asimamishwa kazi ni  miongoni mwa mengine mengi yanayotokea viwanjani.


 Mkenya Eliud Kipchoge bingwa mara tano wa mashindano ya riadha ya Berlin.
Mkenya Eliud Kipchoge bingwa mara tano wa mashindano ya riadha ya Berlin. AP - Christoph Soeder
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.