Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

CAF yatangaza droo ya hatua ya makundi, michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

Imechapishwa:

Miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa droo ya hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Afrika, Gor Mahia yaibuka na ushindi kwenye debi la mashemeji, uchambuzi wa matokeo ya mechi za klabu bingwa ulaya, Kombe la Dunia la mwaka 2030 kuandaliwa kati ya mataifa sita na Pogba kupatikana ametumia dawa za kusisimua misuli katika kipimo cha pili.

Michuano ya klabu bingwa barani Afrika
Michuano ya klabu bingwa barani Afrika © REUTERS/Amr Abdallah Dalsh
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.