Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Raga: Afrika Kusini na New Zealand kuchuana fainali ya kombe la dunia

Imechapishwa:

Tumekuandalia uchambuzi kuhusu fainali inayotarajiwa kati ya Afrika Kusini na New Zealand, kuwania taji la kombe la dunia katika mchezo wa raga lakini pia kuendelea kwa michuano mipya ya soka ya ligi ya Afrika.

Afrika Kusini baada ya kufuzu katika hatua ya fainali, kuwania taji la kombe la dunia 2023
Afrika Kusini baada ya kufuzu katika hatua ya fainali, kuwania taji la kombe la dunia 2023 AP - Themba Hadebe
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.