Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mataifa ya Afrika yaendelea kupambana kutafuta taji la AFCON

Imechapishwa:

Tunaendelea kukuletea uchambuzi wa michuano ya soka kuwania ubingwa kwa mataifa ya Afrika, inayoendelea nchini Cote Dvoire. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Tanzania, pia zinapambana kuwania taji hilo. Ungana na wachambuzi wetu Jason Sagini, George Ajowi na Jason Sagini akiwa mjini San Pedro.

Mshambuliaji wa Algeria Youcef Belaili akimenyana na beki wa Burkina Faso Edmond Tapsoba wakati wa mechi ya pili kuwania taji la AFCON, Januari 20, 2024 kwenye uwanja wa Paix mjini Bouaké
Mshambuliaji wa Algeria Youcef Belaili akimenyana na beki wa Burkina Faso Edmond Tapsoba wakati wa mechi ya pili kuwania taji la AFCON, Januari 20, 2024 kwenye uwanja wa Paix mjini Bouaké AFP - KENZO TRIBOUILLARD
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.