Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Kukamilika kwa wiki ya kwanza ya mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27 nchini Misri.
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Juma moja tangu mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27 kuanza Sharmel Sheikh nchini Misri, mengi yamezungumzwa, lakini kikuu zaidi kumekuwa mazungumzo kuhusu mataifa kukoma kutoa ahadi zaidi, na badala yake kuanza utekelezaji wa ahadi ambazo zilitolewa kwenye mikutano iliotangulia.