Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania, maarufu EACOP

Imechapishwa:

Makala ya mazingira lezo dunia yako kesho juma hili, yanaangazia mradi huu wa ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanzania, maarufu kama EACOP, mradi ambao unatazamiwa kugharimu dola bilioni 5.

Wanaharakati wa Uganda waandamana kuunga mkono azimio la Bunge la Ulaya la kusitisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki, kwa misingi ya mazingira, karibu na ofisi za Umoja wa Ulaya mjini Kampala, Uganda Oktoba 4, 2022.
Wanaharakati wa Uganda waandamana kuunga mkono azimio la Bunge la Ulaya la kusitisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki, kwa misingi ya mazingira, karibu na ofisi za Umoja wa Ulaya mjini Kampala, Uganda Oktoba 4, 2022. © REUTERS/Abubaker Lubowa
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.