Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu

Imechapishwa:

Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaa  vya kutosha ? Tunajadili.

Wabunge nchini Kenya
Wabunge nchini Kenya REUTERS - MONICAH MWANGI
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.