Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu

Imechapishwa:

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona  hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa na Naibu wake  William Ruto, Aprili 4 2015 wakiwa Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa na Naibu wake William Ruto, Aprili 4 2015 wakiwa Ikulu ya Nairobi. REUTERS/Thomas Mukoya
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.