Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha.Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha kwenye ubongo linaweza kusababisha matatizo ya kuongea na ugumu wa kufahamu mambo.Sikiliza makala haya kutambua zaidi kuhusu ugonjwa huu.
Vipindi vingine
-
Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na vijana Afrika
Kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoto na vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili14/05/202410:14 -
Mimba za utotoni zaendelea kuongezeka ukanda wa Afrika Mashariki
Idadi kubwa ya wasichana wanaopata mimbo za utotoni wapo katika nchi za Afrika kwa mujibu wa shirika la afya duniani pia UNFPA08/05/202410:20 -
Methadone yatumika kuwasaidia waraibu wa dawa za kulevya kupambana na Ukimwi
Kenya imeanza kutumia Methadone kupambana na Ukimwi baada ya Tanzania07/05/202408:40 -
Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo
Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO23/04/202410:25 -
Watu wengi wanajikuta na magonjwa ya figo na ini,watoto wengi Sudan wakiaga
Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani17/04/202410:09