Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mikakati kuboresha matibabu ya TB

Imechapishwa:

Juhudi zinaendelea kuhakikisha dawa mwafaka ya TB miongoni mwa watoto zinaendelea

Watalaam wa afya wamekuwa wakifanya utafiti kupata dawa sahihi ya TB miongoni mwa watoto
Watalaam wa afya wamekuwa wakifanya utafiti kupata dawa sahihi ya TB miongoni mwa watoto © Jekesai NJIKIZANA / AFP
Matangazo ya kibiashara

Licha ya kuwa TB inaweza kuambukiza watu wa umri wowote ,watoto kwa miaka wamekuwa wakiachwa nyuma katika matibabu ya TB. Watoto kwa miaka walilazimika kutumia donge za watu wazima.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.