Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Video ya kupotosha kuwa naibu wa rais wa Marekani aliongea vitu visivyoeleweka

Imechapishwa:

Tuangazie video inayoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonyesha makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris akisema maneno ambayo wengi wamekosa kuelewa alichokuwa anakisema.

Video inayoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonyesha makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris akisema maneno ambayo wengi wamekosa kuelewa alichokuwa anakisema
Video inayoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonyesha makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris akisema maneno ambayo wengi wamekosa kuelewa alichokuwa anakisema © FMM-RFI
Matangazo ya kibiashara

Hata hivyo, video hii imebadilishwa kidijitali kubadili maneno ya makamu wa rais wa Marekani; picha asilia na nakala rasmi ya Ikulu ya Marekani inamuonyesha hakutoa maoni kama hayo. 

Video hiyo ilisambazwa kwenye Twitter, Tiktok, Facebook na ilionekana na makumi kwa maelfu. 

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.