Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Picha ya wezi wa mifugo nchini Uganda inadaiwa kuwa ya wafuasi wa imani potofu Kenya

Imechapishwa:

Tuangazia picha moja iliyonaswa nchini Uganda ikionyesha watu waliodhoofika kiafya na inasambazwa nchini Kenya ikihusishwa ni wafuasi wa dhehebu moja pwani ya nchi hiyo.

Picha moja iliyonaswa nchini Uganda ikionyesha watu waliodhoofika kiafya na inasambazwa nchini Kenya ikihusishwa ni wafuasi wa dhehebu moja pwani ya nchi hiyo.
Picha moja iliyonaswa nchini Uganda ikionyesha watu waliodhoofika kiafya na inasambazwa nchini Kenya ikihusishwa ni wafuasi wa dhehebu moja pwani ya nchi hiyo. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Zaidi ya hayo tutaangazia picha inayowaonyesha   wahamiaji wakivuka daraja, wakiwa ikidaiwa kuwa wahamiaji hao wanaingia nchini Marekani baada ya kuagizwa na rais Joe Biden.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.