Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

EAC haijazindua sarafu ya pamoja kama inavyodaiwa mitandaoni

Imechapishwa:

Kamati ya utendaji ya EAC ilitupilia mbali ripoti ya kuzinduliwa kwa sarafu ya pamoja ikisema mchakato wa kuundwa kwa sarafu ya pamoja ya Afrika Mashariki bado unaendelea.

Tunaangazia madai ya kupotosha kuwa jumuiya ya Afrika Mashariki imezindua sarafu ya pamoja ya kikanda, huu ni uongo.
Tunaangazia madai ya kupotosha kuwa jumuiya ya Afrika Mashariki imezindua sarafu ya pamoja ya kikanda, huu ni uongo. © FMM
Vipindi vingine
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:16
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.