Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya michezo ya Afrika 2015

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunazungumzia mchezo wa wavu baina ya wanawake unaochezwa ufukweni Afrika Mashariki na Kati kuelekea michezo ya Afrika mwezi Septemba nchini Congo Brazaville, maandalizi ya michuano ya klabu bingwa  CECAFA na maandalizi ya klabu ya TP Mazembe inayoshiriki katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.