Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Urusi yafungiwa kushiriki mashindano ya Kimataifa ya riadha

Imechapishwa:

Shirikisho la riadha duniani IAAF, limeifungia Urusi kwa muda kushiriki katika mashindano ya Kimataifa kwa tuhma za wanariadha wake kutumia dawa za kusisimua misuli au kuongeza nguvu mwilini, tuhma ambazo wamezikanusha..Michuano ya soka barani Afrika kufuzu katika fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 pia imekuwa ikiendelea na haya na mengine mengi ndiyo tunayoyajadili katika makala yetu ya Jukwaa la Michezo Jumappili hii. 

Lamian Diack rais wa zamani wa Shirikisho la  riadha duniani IAAF
Lamian Diack rais wa zamani wa Shirikisho la riadha duniani IAAF
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.