Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Rais wa Tanzania aapishwa na kuapa kuwashughulia wala rushwa

Imechapishwa:

Dk. John Pombe Magufuli hivi karibuni aliapishwa kuwa Rais Wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kushinda uchaguzi wa Oktoba 25, 2015. Dk. Magufuli amechukuwa rasmi nafasi hiyo baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kumaliza muda wake na kuondoka madarakani. Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa.....

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, kulia akiwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, kulia akiwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete REUTERS/Emmanuel Herman
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.