Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kufanyika Disemba 27, hali ya usalama ikiwa tete

Imechapishwa:

Uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati unatarajiwa kufanyika Disemba 27, mwaka huu na kutanguliwa na kura ya maoni Disemba 13 huku nchi hiyo ikikabiliwa na hali ngumu ya kiusalama. Je nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iko tayari kwa uchaguzi huo? Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa.................

Rais wa serikali ya mpito ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba-Panza
Rais wa serikali ya mpito ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba-Panza AFP PHOTO/Emmanuel DUNAND
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.