Maofisa wa Umoja wa Mataifa UN wamesema majadiliano yanaendelea kati yao na waasi wa Syria waliowateka walinda amani ishirini na moja wa UN kwenye eneo la Golan katika mpaka wa Syria na Israel.
Rais wa Syria Bashar Al Assad amesema kuwa serikali yake imeshinda njama zilizopangwa dhidi yake hata wakati huu ambapo waasi wamevamia mji mkuu wa jimbo la Raqa na kumteka gavana wake katika ...
Muungano wa Upinzani nchini Syria umelaani ukimya wa mataifa katika kushughulikia suala la kupinga mauaji ya raia nchini humo katika kipindi hiki cha mapambano baina ya makundi hasimu nchini ...
Shambulizi mbaya zaidi kutokea nchini Syria katika Mji Mkuu Damascus tangu kuanza kwa vita karibu miezi 24 limesababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 60 na kuongeza hofu ya usalama katika ...
Shambulizi la kujitoa mhanga lililotekelezwa nchini Syria limesababisha watu 31 kupoteza maisha baada ya bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari kulipuka katika Jiji la Damascus karibu na Makao ...
Serikali ya Urusi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimesema zinahitaji kufanyika kwa mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Serikali ya Syria na Viongozi wa Upinzani lengo likiwa ni kumaliza umwagaji wa ...
Umoja wa Mataifa UN umetoa onyo kwamba kama hatua madhubuti hazitachukuliwa kuna kila dalili hali ya kibinadamu nchini Syria ikazidi kuwa mbaya zaidi kipindi hiki ambacho watu milioni nne ...
Rais wa Syria Bashar Al Assad amerejea tena kauli yake ya kwamba ana uhakiki vikosi tiifu kwa Utawala wake vitashinda kwenye vita ambayo inaendelea dhidi ya upinzani unaotaka kumng'oa madarakani ...
Umoja wa Mataifa UN umezilaumu pande zinazohasimiana nchini Syria kwamba zote zimehusika na uhalifu wa kivita kutokana na kushiriki kwenye mapigano yaliyochangia mauaji kwa kipindi cha miezi 23.