Syndicate content
Bashar Al Assad
21/12/2012 - SYRIA

Njaa yautikisa mji wa Allepo wakati mapambano yakizidi kushuhudiwa nchini Syria

Wakazi wa mji wa Allepo nchi Syria wameendelea kushuhudia ukatili na machafuko kwa miezi kadhaa ambapo kwa sasa wanakabiliwa na mgogogoro wa kibinadamu kutokana na uhaba wa chakula na nishati ya ...

19/12/2012 - Syria-Machafuko

Wakimbizi waendelea kutangatanga wakati mashambulizi yakizidi kupamba moto nchini Syria

Makabiliano makali yameendelea kushuhudiwa katika kambi ya wakimbizi wa Palestina jijini Damascus nchini Syria kati ya wafuasi na wapinzani wa rais wa nchi hiyo Bashar Al Assad.

kambi ya Yarmouk, desemba 17, 2012
18/12/2012 - Syria-Machafuko

Hali yaendelea kuwa tete nchini Syria wakati mapigano yakishika kasi karibu na Kambi ya Yarmouk

Mwenyekiti wa operesheni za kibindamu kwenye Umoja wa Mataifa Valerie Amos, ameiomba serikali ya Syria, kuyaruhusu mashirika mengine kumi ya misaada ya kibinadamu kufanyakazi nchini Syria wakati ...

16/12/2012 - Syria-Uturuki

Uturuki yaonywa juu ya mpango wa kupeleka makombora na wanajeshi katika mpaka wake na Syria

Mkuu wa vikosi vya majeshi nchini Iran Generali Hassan Firouzabadi ameionya Uturuki dhidi ya mpango wa kupeleka makombora na wanajeshi katika mpaka wake na Syria, suala ambalo amesema ni mpango wa ...

13/12/2012 - Urusi-Syria

Urusi yahofia kuangushwa kwa serikali ya rais Assad nchini Syria

Urusi kwa mara ya kwanza inasema dalili zinaonesha wazi kuwa serikali ya rais Bashar Al Assad nchini Syria itaangushwa na wapiganaji wa upinzani.

12/12/2012 - Morocco

Marafiki wa Syria wakutana mjini Marrakesh Morocco kuunga mkono upinzani

Wajumbe kutoka zaidi ya mataifa 100 yanayojiita marafiki wa Syria wanakutana mjini Marrakesh nchini Morocco kutambua baraza jipya la upinzani nchini Syria kama wawakilishi wa wananchi wa taifa ...

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton (kushoto) akisalimiana na katibu mkuu wa majeshi ya NATO, Anders Fogh Rasmussen
06/12/2012 - NATO-UTURUKI-SYRIA-MAREKANI

Clinton: NATO inahitaji pongezi, waidhinisha ombi la Uturuki kulinda mipaka yake

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Hillary Clinton amepongeza jumuiya ya majeshi ya nchi za kujihami za magharibi NATO kwa hatua ambayo imepiga mpaka sasa katika kuzilinda nchi ...

Rais wa Marekani Barack Obama
04/12/2012 - SYRIA-MAREKANI-URUSI-UTURUKI

Rais wa Marekani, Barack Obama aionya kwa mara nyingine nchi ya Syria dhidi ya kutumia silaha za kemikali

Rais wa Marekani Barack Obama kwa mara nyingine juma hili ameibuka na kumtaka rais wa Syria Bashar al-Asad kutotumia silaha za kemikali dhidi ya wananchi wake mwenyewe.

16/11/2012 - SYRIA-UFARANSA

Ufaransa yataka Baraza la Mapinduzi lipewe silaha kukabiliana na utawala wa Syria

Ikiwa ni nchi ya kwanza ya Ulaya kutambua Baraza la Mapinduzi nchini Syria la SNC, nchi ya Ufaransa imesema kuwa kuna haja sasa ya kuwapatia wapiganaji wa Syria silaha zaidi kujulinda na wanajeshi ...

Close