Syndicate content
Bashar Al Assad
Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria Lakhdar Brahimi akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Yang Jiechi baada ya mkutano wao huko Beijing
31/10/2012 - CHINA-SYRIA

Lakhdar Brahimi akiri China ikishiriki katika kusaka suluhu ya Mgogoro wa Syria muafaka wa kweli utapatikana

Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria anayetambuliwa na Umoja wa Mataifa UN na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Lakhdar Brahimi ameeleza matumaini yake ya kwamba China inaweza ikasaidia kupatikana kwa suluhu ...

Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria Lakhdar Brahimi akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergie Lavrov baada ya mkutano wao
29/10/2012 - SYRIA-URUSI

Hali inazidi kuwa mbaya nchini Syria na kushuhudia watu 10 wakiuawa kwenye shambulizi la kigaidi Damascus

Mgogoro ambao unaendelea nchini Syria umetajwa kuwa mbaya na unaendelea kuleta madhara zaidi kipindi hiki ambacho Televisheni ya taifa nchini humo ikithibitisha watu kumi wamepoteza maisha baada ...

17/10/2012 - Syria-mapigano

watu 80 wapoteza maisha katika mapigano ya jumanne nchini Syria

Kwa mujibu wa shirika la haki za binadamu nchini Syria mapambano ya jana jumanne nchini humo, yamesababisha vifo vya watu thamanini, wakati mapigano yakiendelea kushuhudiwa katika mji wa Allepo ...

msuluhishi katika mgogoro wa Syria Lakhtar Brahimi
16/10/2012 - SYRIA

Msuluhishi katika mgogoro wa Syria azitaka pande zote mbili kusitisha vita wakati wa siku kuu ya Aid al Adha

Msuluhishi wa kimataifa katika mgogoro wa Syria Lakhtar Brahimi ametowa wito wa kusitisha mapigano nchini Syria wakati wa siku kuu ya kiislam ya Aid al Adha inayo tarajiwa kuadhimishwa mwishoni ...

11/10/2012 - Syria-Uturuki

Uturuki yalazimisha ndege Syria kutua kwa kuhofia silaha za maangamizi

Serikali ya Uturuki imezuia baadhi ya mizigo kutoka ndege ya shirika la Syria iliyokuwa inatokea urusi kuelekea Damascus ambapo inavichunguza vifaa ambavyo vilikuwa vimebebwa na ndege hiyo.

10/10/2012 - Syria

Majeshi ya waasi wa Syria yadaiwa kushika maeneo muhimu, NATO kuisadia Uturuki kijeshi

Waasi nchini Syria wamefanikiwa kuushikilia maeneo muhimu kwenye mji wa Allepo hatua inayoelezwa kuwa ni pigo kwa vikosi vya serikali ambavyo vimekuwa vikijaribu kuurejesha kwenye hiamaya yake mji ...

09/10/2012 - Syria

Mabomu ya kujitoa mhanga yasambaratisha maisha ya watu wengi nchini Syria

Watu kadhaa wameuawa hii leo nchini Syria baada ya kufanyika mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga katika kambi moja ya jeshi la usalama mjini Harasta kaskazini Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo ...

08/10/2012 - SYRIA

Makao makuu ya Polisi Syria yalipuliwa kwa bomu la kujitoa mhanga

Watu kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu la kujitoa muhanga uliotokea nje ya makao makuu ya Polisi mjini Damascus Syria.

Majeshi ya AMISOM yaendelea kuimarisha usalama Kismayo huku Syria na Uturuki zikiwa hatarini kuingia vitani
06/10/2012 - Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Majeshi ya AMISOM yaendelea kuimarisha usalama Kismayo huku Syria na Uturuki zikiwa hatarini kuingia vitani

Majeshi ya Kenya KDF yakiwa chini ya mwamvuli wa Vikosi vya Umoja wa Afrika Vinavyolinda Amani nchini Somalia AMISOM yanaendelea na operesheni zao kuhakikisha wanaimarisha ulinzi katika Mji wa ...

05/10/2012 - Syria-Uturuki

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakashifu Syria kwa kuishambulia Uturuki

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekashifu shambulizi la Syria nchini Uturuki lililosababisha vifo vya watu watano mjini Akcakale, shambulizi ambalo baraza hilo linasema linatishia ...

Close