Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutetea Haki za Binadamu UNHRC linatarajiwa kutoa orodha ya watu ambao wanatajwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kivita nchini Syria kipindi hiki ambacho vita ...
Mjumbe wa amani kutoka umoja wa mataifa Lakhdar Brahimi ametoa onyo kali baada ya kukutana na raisi wa syria Bashar Al Assad kuhusu kuendelea kwa mgogoro nchini syria.
Waasi nchini Syria wanapambana na Majeshi ya Serikali ya Rais Bashar Al Assad wamejiapiza kuendelea na mapambano ili wairejeshe kwenye himaya yao ngome kubwa ya kijeshi ya Hanano iliyopo katika ...
Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa katika Jiji la Aleppo ambapo Waasi kupitia Jeshi Huru la Syria wamejinadi kuwaua wanajeshi ishirini wa serikali kipindi hiki ambacho Msuluhishi wa Mgogoro ...
Zaidi ya askari laki moja wametawanywa maeneo mbalimbali nchini Iran hususan katika mji mkuu wa Tehran kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwepo katika kipindi chote cha mkutano wa dunia wa mataifa ...
Jeshi huru la waasi nchini syria limedai kuitungua ndege ya kijeshi inayomilikiwa na majeshi ya serikali ya raisi Assad,shambulio ambalo limesababisha kifo cha rubani wa ndege hiyo.
Rais wa Syria Bashar Al Assad amethibitisha kuwa utawala wake utashinda kwa thamni yoyote dhidi ya njama za kigeni zinaelekewa kwa nchi yake, huku aukisema kwamba wananchi wa Syria ...
Mapambano makali yanaendelea nchini Syria katika mji wa Aleppo huku pande zote mbili za upinzani na serikali zikijigamba kusonga mbele katika uwanja wa vita.
Ndege za kivita za Syria zimeshambulia makaazi ya watu katika eneo la Azaz mjini Allepo na kusababisha kuuawa kwa zaidi ya watu thelathini wakiwemo watoto,huku mashirika ya kutetetea haki za ...