Syndicate content
Israeli
Benjamin Netanyahu
19/12/2014 - ISRAEL-PALESTINA-UN-Usalama

Netanyahu hakubaliani na kuundwa kwa taifa la Palestina

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa nchi yake kamwe haitakubali kutambua Mamlaka ya Palestina kama taifa huru kama ambavyo Mamlaka ya Palestina yamekuwa yakiuomba Umoja wa Mataifa ...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, akinyooshea kidole cha lawama Mahakama ya Umoja wa Ulaya.
18/12/2014 - ULAYA-ISRAEL-PALESTINA-HAMAS-SHERIA

Israeli yailaumu Mahakama ya Ulaya

Israel imelani vikali uamuzi wa Mahakama ya Ulaya ya kuondoa Hamas katika kwenye orodha ya mashirika ya kigaidi kwa sababu ya hitilafu za kiutaratibu.

Kikosi cha ulizi wa taifa cha Plaestina kikibeba jeneza ya kiongozi Ziad Abou Eïn wakati wa mazishi yake mjini Ramallah, Desemba 11 mwaka 2014.
12/12/2014 - PALESTINA-ISRAELI-MAANDAMANO-Usalama

Hali ya wasiwasi yatanda Cisjordania

Jeshi la Israel limeendelea Ijumaa Desemba 12 kuongeza idadi ya askari katika mji wa Cisjordania, siku moja baada ya mazishi ya kiongozi mmoja wa palestina mjini Ramallah.

Raia wa Palestina waandamana wakiwa na mabango yenye picha ya waziri Palestina, Ziad Abu Ein, aliyeuawa Jumatano Desemba 10 mwaka 2014.
11/12/2014 - PALESTINA-ISRAEL-Usalama

Abbas ailaumu serikali ya Israel

“ Njia zote zinawezeka”, amesema rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahamoud Abbas kufuatia kifo cha mmoja wa viongozi wa Palestina, anayehusika na masuala ya ukoloni nchini ...
Yuval Steinitz, Waziri wa ujasusi wa Israel.
08/12/2014 - SYRIA-ISRAEL-Mashambulizi-Usalama

Israel yataka kuzuia silaha kutoifikia Hezbollah

Syria imeituhumu Israel kuendesha mashambulizi Jumapili Desemba 7 dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na utawala wa Damascus. Israel inatuhumiwa kuwapa msaada moja kwa moja waasi na wanajihadi.

raia wa mji wa Damascus wamesema wamesikia milipuko wa mabomu Jumapili Desemba 7 mwaka 2014.
08/12/2014

Syria yaitwika lawama Israel

Jeshi la Syria linaishtumu Israeli kwa kutekeleza mashambulizi mawili ya angaa karibu na jiji kuu Damascus. Mashambulizi ambayo hayakusababisha hasara yoyote.

06/12/2014 - Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Muhimu katika makala juma hili: Uchaguzi nchini Namibia, Usalama kuzorota nchini Kenya

Miongoni mwa habari zilizopewa uzito kwa juma hili ni pamoja na hali ya usalama kuendelea kuzorota nchini Kenya, chama tawala nchini Namibia cha Swapo chajinyakulia ushindi kwenye uchaguzi mkuu ...
Serikali ya Benyamin Netanyahu imepitisha jumapili Novemba 23 muswada unaotambua Israel kama taifa la Wayahudi.
24/11/2014 - ISREALI-PALESTINA-Usalama-Siasa

Israel: Serikali yapitisha muswada wa sheria kuhusu taifa la Wayahudi

Wakati mzozo kati ya Israel na Palestina ukiendelea kufukuta, Serikali ya Israel imepitisha muswada wa sheria unaolitambua eneo la Jerusalem kama ardhi rasmi ya walowezi wa Kiyahudi.

22/11/2014 - Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Makabiadhiano ya madaraka kati ya wanasiasa wa Burkina faso, mauaji mapya huko Beni DRC

Ni Juma ambalo lilitamatika na hali ya wasiwasi kwa wananchi wa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya congo, baada ya kufanyika kwa mauaji mengine mapya ya raia wa kawaida wasiopungua hamsini, kwa ...
Wanawake wa Palestina pamoja na Askari polisi wa Israeli, kila upande ukiangalia mwengine, katika eneo la Jabal Al Mkaber, Jerusalem, Novemba 18 mwaka 2014.
20/11/2014 - ISRAELI-PALESTINA-JERUSALEM-Siasa-Usalama

Israeli yaruhusu ujenzi wa nyumba 78 katika ardhi ya Palestina

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameruhusu ujenzi wa nyumba 78 katika maeneo yanayokaliwa na walowezi katika ardhi ya Palestina.

Close