Syndicate content
Kombe la Mataifa Ulaya
29/06/2012 - ULAYA

Fainali za soka kombe la mataifa ya Ulaya kutimua vumbi Jumapili, Italia yaishangaza Ujerumani

Fainali za Euro 2012, zinatazamiwa kufikia mwisho siku ya Jumapili hii, yaani Julai Mosi, ambapo Italia itachuana na Uhispania na huu utakuwa ni mtanange ambao unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki ...
Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya taifa ya Ureno Christina Ronaldo akishangilia mara baada ya mchezo wa jana
22/06/2012 - EURO 2012

Ureno yawa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya Euro, leo ni zamu ya Ujerumani na Ugiriki kumenyana

Robo fainali ya pili ya michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya, Euro 2012 inatarajiwa kutimua vumbi hii leo baada ya hapo jana kushuhudia timu ya taifa ya Ureno ikitinga kama timu ya kwanza kwenye ...
wachezaji wa timu ya taifa ya Ureno wakiwa kwenye mazoezi kujiandaa na mchezo wa leo
21/06/2012 - EURO 2012

Timu za Ureno na Jamhuri ya Czech kukutana leo kwenye robo fainali ya kwanza ya michuano ya Euro 2012

Kindumbwendumbwe cha robo fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya, Euro 2012 kinatarajiwa kuanza kutimua vumbi hii leo kwa timu za taifa za Ureno na Jamhuri ya Czech zitakapopambana.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Uingereza wakimpngeza Wyne Rooney baada ya kuifungia timu yake goli dhidi ya wenyeji Ukrain
20/06/2012 - EURO 2012

Uingereza na Ufaransa zatinga robo fainali ya michauno ya Euro 2012, robo fainali ya kwanza kupigwa Alhamisi

Michuano ya kombe la mtaifa ya Ulaya Euro 2012 imetinga kwenye hatua ya robo fainali baada ya kukamilishwa kwa ratiba ya mechi zilizokuwa zimesalia hapo jana na kuhsuhudia timu ya taifa ya Uingereza ...
Wachezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani wakishangilia mara baada ya ushindi wa jana
18/06/2012 - EURO 2012

Timu ya taifa ya Ureno na Ujerumani zatinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Euro 2012

Michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya maarufu kama EURO 2012 imeendelea kutimua vumbi kule nchini Ukrain na Poland na kushuhudia vigogo mbalimbali wakisonga mbele huku wengine wakiaga mashindano ...
Mshambuliaji wa Ureno Christiano Ronaldo akikabiliana na beki wa Ujerumani
11/06/2012 - Euro 2012

Ujerumani yajiweka sawa, huku Uholanzi ikishindwa kuwika

Uholanzi imeshindwa kutumia nafasi 28 walizotegeneza na hivo kujikuta ikifungwa 1-0 na Denmark, huku Ujerumani wakithibitisha ubabe wao kwa kuichapa Ureno 1-0.

Uwanja wa Dariusz Boczek ulioko nchini Poland ambao utatumika kwaajili ya michuano ya EURO 2012
17/04/2012 - EURO 2012

Chama cha wachezaji ulimwenguni chaonyesha wasiwasi wa kuwepo vitendo vya kibaguzi wakati wa michuano ya EURO 2012

Umoja wa shirikisho la wachezaji wa mpira wa miguu duniani FIFPro, umesema kuwa unahofu kuwa baadhi ya wachezaji wake toka barani ulaya huenda wakafanyiwa vitendo vya ubaguzi wa rangi wakati wa ...
Close