Fabrice Muamba, amerejea tena kucheza soka baada ya kuanguka na kupoteza fahamu katika mchezo wa ligi kuu nchini Ungereza na timu ya Bolton Marchi 17 mwaka huu.
Ratiba ya msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Backlays Premier League imetolewa hii leo na chama cha soka nchini humo FA ambapo kwa mujibu wa kalenda itaanza kutimua vumi kuanzia ...
Timu ya Manchester City imemuomba radhi Kocha wa Manchester United ,Alex Ferguson baada ya mchezaji wa Man Cuty, Carlos Tevez kuonesha ishara ya kumkejeli Ferguson wakati wa Shamrashamra za baada ...
Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea mwishoni mwa juma na kushuhudia vinara wawili wa ligi hiyo wanaolinga kwa alama Manchester united na Manchester City zikipata ushindi kwenye mechi zao na hivyo ...
Goli la Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uingereza anayekipiga katika Klabu ya Manchester United Wayne Rooney limeshinda na kuwa goli bora katika kipindi cha misimu 20 tangu Ligi Kuu Nchini Uingereza ...
Newcastle United imejiweka katika mazingira mazuri ya kuendelea kugombea nafasi nne za juu katika Ligi Kuu Nchini Uingereza ili iweze kushiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya msimu ujao baada ya ...
Goli la Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany katika mchezo dhidi ya Manchester United lilitosha kuwapa ushindi na hivyo kukaribia kutwaa Ubingwa msimu huu iwapo watashinda michezo yao miwili ...
Ligi Kuu nchini Uingereza inatarajiwa kuendelea usiku wa leo ambalo mahasimu wawili Manchester United ambao wanaongoza ligi watakuwa kibaruani dhidi ya wapinzani wao wa jadi Manchester City ambao ...
Mchezaji wa timu ya Arsenal Robin van Persie amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka katika tuzo inayotolewa na Chama cha Wacheza soka ya Kulipwa- PFA.Mshambuliaji huyo wa Arsenal mwenye umri ...