Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea siku ya jumatatu kwa kushuhudia mchezo mmoja pekee ukipigwa kwenye dimba la Emarates kati ya wenyeji Arsenal waliowakaribisha vijana wa Wigan Athletics.
Ligi kuu ya nchini Uingereza imeendelea kushika kasi na sasa kinyang'anyiro kimebaki kwa timu mbili za Manchester City na Manchester United kuwania ubingwa wa ligi ya Uingereza.
Kocha wa Manchester United ya Uingereza Sir Alex Fugerson ameelezea furaha yake baada ya kupata ushindi katika mchezo wa mabao 2-0 dhidi ya Blackburn, hiyo jana.
Ma Dactari wa Hospitali ya Chest Hospital nchini Uingereza wamethibitisha kuwa hali ya Afya ya mchezaji Fabrice Mwamba wa timu ya Bolton alieanguka uwanjani siku nane zilizopita yaendelea ...
Manchester City inacheza na Chelsea katika mechi ya soka ya klabu bingwa nchini Uingereza Jumatano usiku, mchuano ambao unaangaziwa utaamua ikiwa Manchster City watakuwa katika nafasi bora ...
Nahodha wa klabu ya soka ya Chelsea nchini Uingereza John Terry atakosa mchuano wa ligi kuu nchini humo dhidi ya Manchester City katika uwanja wao wa nyumbani wa Etihad Jumatano hii.
Kocha wa Manchester City, Roberto Mancini ana matumaini makubwa kuwa watakuwa mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza, lakini amesema kuwa mechi tatu walizozibakiza zitathibitisha nafasi yao katika ligi ...
Ikiwa zimepita siku mbili toka klabu ya Chelsea imfukuze kocha wake mkuu Andre Villa Boas kufuatia kipigo cha bao moja kwa nunge mwishoni mwa juma toka kwa klabu ya Westbrownch Albion, klabu hiyo ...