Ligi kuu ya nchini Uingereza imeendelea kuwa ngumu na isiyotabirika huku vigogo viwili Manchester United na Manchester City wakiendelea kuchuana kileleni mwa ligi hiyo wakitofautiana kwa alama ...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Chelsea Andre Villas-Boas amekiri hadharani anahofu huenda tajiri wa timu hiyo Mrusi Roman Abramovich akamtimua iwapo atashindwa kupata mafanikio ambayo yamekuwa ndoto huko ...
Kufuatia kuondolewa kwa timu ya Arsenal katika michuano ya kombe la FA siku ya Jumamosi, Ikiwa ni miaka saba ya mafanikio bila kushinda kombe hilo ,Kocha wa timu hiyo Arsenal Wenger amekosolewa ...
Chama cha soka nchini Uingereza FA kimetangaza kumvua rasmi unahodha wa timu ya taifa ya Uingereza beki wa kati wa timu ya Chelsea na timu ya taifa ya nchi hiyo John Terry kufuatia mchezaji huyo ...
Ligi kuu ya nchini Uingereza imeendelea kushika kasi wakati huu ambapo imeingia katika mzunguko wake wa pili huku baadhi ya timu zikianza kuonyesha nia kutaka kutwaa ubingwa wa ligi hiyo pamoja na ...
Ligi kuu nchini Uingereza imeendela usiku wa kuamkia Jumatano na kushuhudia vinara wa ligi hiyo Manchester City wakipoteza mchezo wao dhidi ya Everton na kuwafanya walingane pointi na majirani zao ...
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia ambaye anakipiga katika Klabu ya Manchester City Mario Balotelli ameingia matatani na huenda Chama Cha Soka nchini Uingereza FA kikamsimamisha kucheza michezo ...
Klabu ya Manchester United ilifanikiwa kupunguza tofauti ya pointi na kusalia pointi tatu dhidi ya vinara Manchester City baada ya kufanikiwa kuifunga Arsenal kwenye Uwanja wake wa nyumbani ...
Chama cha soka nchini Uingereza FA hatimaye kimetoa adhabu kali kwa mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Luis Suarez baada ya kumkuta na hati ya kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mchezaji wa ...
Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza hatimaye imefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi hiyo baada ya nafasi hiyo kushikiliwa kwa muda na mahasimu wao manchester United.