Syndicate content
Ligi Kuu Nchini Uingereza
13/12/2011 - UINGEREZA

Chelsea yasitisha rekodi ya ushindi wa Manchester City kwenye Ligi Kuu Nchini Uingereza

Mkwaju wa penalty wa Kiungo wa Kimataifa wa Uingereza Frank Lampard ulitosha kuwapa ushindi Klabu ya Chelsea na kusitisha rekodi ya kipekee ambayo ilikuwa nayo Manchester City ya kutopoteza mchezo ...

Mchezaji wa Liverpool Glen Johnson akifunga bao la pili na laushindi kwa timu yake
21/11/2011 - LIGI KUU YA UINGEREZA

Chelsea yaendelea kufanya vibaya kwenye ligi kuu ya Uingereza

Klabu ya Chelsea ya Uingereza mwishoni mwa juma imeendeleza uteja wake kwa klabu ya Liverpool baada ya kukubali kichapo cha magolo mawili kwa moja wakiwa nyumbani katika dimba la stamford ...

Carlos Tevez mchezaji wa Manchester City
09/11/2011 - LIGI KUU UINGEREZA

Tevez kuripoti mazoezini hii leo

Mshambuliaji mahiri wa klabu ya Manchester City, Carlos Tevez anatarajiwa kuripoti katika mazoezi ya klabu hiyo leo hii Jumatano licha ya kuwepo wasiwasi kuwa hatarejea kwa muda unaotakiwa.

26/10/2011 - UINGEREZA

Carlos Tevez kumshtaki Kocha wa Manchester City Roberto Mancini

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Argentina anayekipiga katika Klabu ya Manchester United Carlos Tevez anatarajiwa kumshtaki Meneja wa Timu hiyo Roberto Mancini kwa kosa la kumkashfu kwa mujibu wa ...

24/10/2011 - UINGEREZA

Manchester City yaifungia kazi Manchester United kwa kuichakaza magoli 6-1

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Nchini Uingereza Klabu ya Manchester United imeshuhudia ikipata kichapo kikali zaidi kuwahi kutokea wakiwa nyumbani katika Uwanja wa Old Trafford tangu wafungwe mwaka ...

18/10/2011 - Uingereza

Hatma ya Anelka kujulikana msimu wa usajili mdogo wa baridi

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea Nicola Anelka raia wa Ufaransa huenda akaiahama klabu hiyo katika msimu wa usajili wa majira ya baridi.

03/10/2011 - UINGEREZA

Arsene Wenger akiri Arsenal kujiondoa kwenye mbio za Ubingwa mwaka huu

Kocha Mkuu wa Arsenal Arsene Wenger amekiri Timu yake imeshajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha mbio za Ubingwa baada ya kuwa nyuma kwa pointi kumi na mbili nyuma ya vinara wa Ligi Kuu nchini ...

30/09/2011 - Uingereza

Fergurson amuunga mkono Roberto Mancini kuhusu Tevez

Kocha wa klabu ya soka ya Uingereza Manchester United Alex Ferguson amemuunga mkono kocha wa Manchester City Roberto Mancini juu ya namna anavyoshughulikia suala la mchezaji arlos Tevez aliyegoma ...

L'entraîneur français d'Arsenal, Arsène Wenger.
01/09/2011 - UINGEREZA

Klabu ya Arsenal yasajili wachezaji wanne kujiimarisha kabla ya dirisha la usajili kufungwa

Dirisha la Usajili Barani Ulaya limefungwa rasmi usiku wa jana na kushuhudia Klabu ya Washika Bunduki Arsenal ya Nchini Uingereza ikifanikiwa kuchukua wachezaji wanne katika dakika za lala salama ...

28/08/2011 - LIGI KUU YA UINGEREZA

Kitimtim cha ligi kuu ya Uingereza kuendelea wikiendi hii

Ligi kuu ya nchini Uingereza inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi wikiendi hii kwa kushuhudia miamba mbalimbali ikishuka viwanjani huku tayari vijogoo vya jiji Liverpool wakikalia usukani wa Ligi ...

Close