Kikosi cha Arsenal kinachonolewa na Kocha wake Arsene Wenger kitakuwa na kibarua kigumu hii leo cha kusaka nafasi ya kutinga katika hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya watakapokipiga ...
Wachezaji wawili wa timu ya Arsenal ambao ni Cesc Fabregas ambae amekubali kujilipia sehemu ya pesa ilioombwa na club yake na kufuta deni alilokuwa akidai kutoka Arsenal ilimradi tu aondoke na ...
Kiongozi wa kiufundi wa klabu ya Inter Milan ya Italia Marco Branca amesisItiza kuwa uongozi wa klabu hiyo haujapata ombi lolote rasmi la kutaka kumuuza kiungo wake wa kati Wesley Sneijder ...
Hatimaye uongozi wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza umemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa FC Porto ya Ureno Andre Villas-Boas kuwa kocha mkuu mpya wa matajiri hao wa London.
Pazia la ligi kuu mbalimbali za mpira wa miguu barani ulaya litakuwa linafungwa leo kwa timu zinazoshiriki ligi kuu kucheza mechi zao za kukamilisha ratiba huku baadhi ya nchi tayari mabingwa ...
Kenny Dalglish amechaguliwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Liverpool “Vijogoo vya Jiji” baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha timu yake hiyo ya zamani ambayo aliitumika ...