Syndicate content
Mali
Wanajeshi wa Mali wakipiga doria
16/04/2014 - UN-MALI

UN iko tayari kupatishia uwezo vikosi vya Usalama vya Mali

Umoja wa Ulaya hapo jana umetangaza kuongeza nguvu zaidi kwa vikosi vya polisi na jeshi nchini Mali, ikiwa ni operesheni ya pili kufanywa na umoja wa Ulaya nchini humo kudhibiti hali ya usalama ...

Wawakilishi wa makundi ya waasi mjini kaskazini mwa Mali wakipokelewa kwa mazungumzo na ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
03/02/2014 - MALI-Mazungumzo

Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umeyapokea kwa mazungumzo makundi ya waasi nchini Mali

Leo ni siku ya pili ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ukiendelea na ziara yake nchini Mali.

26/01/2014 - SOKA-CHAN

Nigeria na Zimbabwe zatinga nusu fainali michuano ya CHAN

Nigeria na Zimbabwe zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya CHAN inayowashirikisha wanasoka wa barani Afrika wanaocheza ligi za nyumbani, Nigeria ilitoka nyuma na kufanikiwa ...

24/12/2013 - MALI

Kundi la wanamgambo wa kislamu la Mujao nchini Mali laonekana kufifia

Kiongozi wa zamani wa kundi la wanamgambo wa kislamu katika jimbo la Gao, kaskazini mwa Mali, waliyodhibiti jimbo hilo katika mwaka wa 2012, amekamatwa baada ya makabiliano ya ufyatulianaji risasi ...

13/12/2013 - UFARANSA-AFRIKA

Ufaransa yapongezwa kwa kuwatuma wanajeshi wake katika maeneo yenye migogoro barani Afrika

Aliyekuwa zamani katibu mkuu wa Umoja wa mataifa UN, Kofi Annan, ameipongeza serikali ya Ufaransa kujituma katika kusuluhisha migogoro ya kivita inayoendelea kujienea barani Afrika.

Kiongozi wa Mapinduzi nchini Mali Amadou Sanogo
27/11/2013 - MALI-UFARANSA

Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Mali Amadou Sanogo awekwa kizuizini kwa mahojiano leo Jumatano

Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Machi mwaka 2012 nchini Mali Amadou Sanogo amewekwa kizuizini leo Jumatano kwa mahojiano na jaji anayechunguza tuhuma za ukiukwaji wahaki za binadamu ...

Waandishi wa habari wa rfi  Ghislain Dupont na Claude Verlon waliouawa nchini Mali hivi Karibuni
27/11/2013 - UN-MALI-UFARANSA

Umoja wa Mataifa watangaza tarehe 2 Novemba kila mwaka kuwa siku ya kuwalinda waandishi wa habari

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha na kutangaza kuwa Tarehe 02 Mwezi Novemba kila mwaka itakuwa ni siku ya kukumbusha dunia nzima kuwalinda waandishi wa habari.

Wananchi wakipiga kura nchini Mali jana Jumapili
25/11/2013 - MALI

Umoja wa Ulaya wapongeza uchaguzi wa wabunge nchini Mali

Umoja wa Ulaya umepongeza zoezi la uchaguzi wa wabunge nchini Mali na kusema kuwa uchaguzi huo ni hatua nyingine ya mafanikio kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika kwa amani mnamo mwezi ...

08/11/2013 - UFARANSA-MALI

Ufaransa kuendeleza uchunguzi juu ya madai ya Al-Qaeda kukiri kuhusika na mauaji ya Wanahabari wawili wa RFI

Licha ya kushindwa kukubali moja kwa moja na madai ya kundi la Al-Qaeda nchini Mali kuhusu kuhusika kwake na mauaji ya waandishi wawili wa habari raia wa Ufaransa mwishoni mwa juma, nchi ya ...

RFI, Novemba 5, 2013
07/11/2013 - MALI-MAUAJI

Kundi la Kigaidi la Al-Qaeda lakiri kuhusika na mauaji ya waandishi wa habari wawili wa Ufaransa waliouawa mwishoni mwa juma lililopita katika nchi ya Mali

Kundi la Al Qaeda tawi la ukanda wa Maghreb, limejigamba kuhusika katika mauaji ya waandishi wa habari wawili raia wa Ufaransa Novemba 2 mjini Kidal kaskazini mashariki mwa Mali na kudai kuwa ...

Close